Msaada--nataka kurudi kwenye kazini serikalini!

Msaada--nataka kurudi kwenye kazini serikalini!

faabroz

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
286
Reaction score
69
habar za humu, wanajamvi
MIMI NILIKUWA MWALIMU WA DIPLOMA NILIAJIRIWA NA SERIKALINI, LAKINI MWAKA 2009 NILIAMUA KWENDA CHUO KUSOMA KOZI NYINGINE YA UHASIBU,NIKAMALIZA 2012, SASA NINETAFUTA KAXI KWA UHASIBU ILA BADO SIJAPATA, SASA NATAKA NIIRUDIE KAZINI SERIKALINI, JE NIFANYAJE?? INAWEZEKANA
 
Nenda ulikotorokea kaanzie kule. Kama hawajakupa barua ya kukufukuza kazi na hata kama wamekupa kafuatilie kama taratibu zilifuatwa kisha pambana
 
Hv jamani kwa hali tu ya kawaida mtu unaondokaje kwa mwajiri wako miaka mitatu bila kuaga?kama ni kusoma mbona waajiri wanaruhusu?then ukimaliza unafanya hiyo michakato ya recategorization?
 
Back
Top Bottom