chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
njoo nikuuzie yangu ni aina ya appolo, bei poa
mkuu unataka helicopter ukawindie wanyama wetu mbugani
Anza na toroli kwanza.
Mcheki mzee Ndessa atakupa directives na details zoote.
Kamuuliza Mh. Mbowe Na Mh. Msukuma Wa Geita... Walikokopa Chopa zao.
Waulize wanasiasa.
mkuu unaweza ukanarrate in brief muda iliotumika,gharama zake na mahali ulipo tafadhali
hapana mkuu kama ningekuwa nahitaj ya kubeba mzigo ningeanza na tololi but is just usafir
kabla sijaendelea ngoja nikuulize kitu, je unayo leseni ya kuendeshea elicopter, pili leseni iko valid na umeipatia wapi,tatu mafunzo ya kuendeshea umeyapata chuo gani? nne una udhoefu wowote na hiki chombo?
Hata helicopter inabeba mizigo mkuu.
asante mkuu kwa maswali yako mazuri,kiukweli sina ufaham na maswala ya udereva kuanzia baiskel hata gari au boda boda,mimi nadhani kwa sababu kuna wataalam waliosomea urubani nitamtafuta ili aweze kuniendesha.nadhani nimetoa majibu mazuri mkuu
mkuu inaonekana ujihamini kabisa, ngoja nikushauri kitu nenda uwaone wanasiasa uwa wanatumia sana chopa watakusaidia sawa