Bonded warehouse unapata licence yake ofisi za customs TRA kama sijakosea na detail zote za ziada utazipata huko. Na kuhusiana na maswala ya commission ni simple pia, yani ww unakua agent wa huyo anaekuletea magari na ww ukiuza revenue/mauzo yako unayapata in form of asilimia kadhaa ya thamani kamili ya gari ulilouza. Kabla yakufanya hii biashara hakikisha unaijua vizuri nje ndani na unawajua watu wanaohusika kwny mnyororo wa thamani wa biashara hio. Kama madalali, watu wa bima, ma fixer and so on and so forth. Na pia cha muhimu kuliko vyote ni eneo
laku accomodate mzigo wa hayo magari. Wengine watafafanua zaidi ila mi ndo hayo tu.