biashara ya magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Tactician

    Natafuta gari ya kukodi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  2. A

    Rav4 massawe used

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji hiyo gari budget yangu ni mil 7,asanteni
  3. aka2030

    Serikali itazame hivi vyanzo vipya vya kodi

    1.Watu wanaouziana magari used ndani ya nchi serikali inekuwa ikipata pesa kwenye kuchange owner name basi ingefaaa pia kabla ya kufanya changes mhusika awasilishe na mkataba wa mauziano ili aweze kulipia 18%VAT Kila siku mlimani city sio chini ya magari 20 yanauzwa pale 2.Biashara ya kupanga...
  4. M

    Msaada nataka kuingia kwenye biashara ya magari

    Habari wana jukwaa Nina partiner wangu yupo Japan anaishi south Africa ni car dealer....ameniambia nisajili custom bond ware house na kampuni commission agent company.amedai nikifanya hivyo atakuwa ananipa mzigo wa magari niwe namuuzia kwa commission. Kupitia hili ndugu zangu wana jukwaa...
  5. aka2030

    TRA hamuyaoni haya kwenye uuzaji wa magari binafsi na tiketi za mabasi?

    Kuna vyanzo vingi vya mapato ambvyo mnajifanya hamvioni 1. Tiketi za mabasi kule hamna basi hata moja linalotoa tiketi ya EFD kwa wastani Tz watu 100k wanasafiri hapo ukizidisha kwa VAT kwa kila nauli na kwa siku 30 nadhani mtaona bei gani inapotea. 2. Uuzaji wa magari binafsi Kila siku watu...
Back
Top Bottom