Msaada: Nataka kufungua salon ya kike

mchakavumlasana

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
360
250
Habari wanajamvi,

Nataka kumfungulia saluni dogo aweze kupata riziki ya kila siku hana uzoefu na biashara hii ingawa anapenda. Hivyo Tafadhali mwenye uzoefu a-share nasi hapa kupata ujuzi zaidi.

Gharama za vitendea kazi kama dryers za chini na juu stemer(spelling)
Viti vioo nk nk

Kipi muhimu sana

Kwa saluni za kileo nini kiwepo kipi kisiwepo

Shukrani

Malipo ya wafanyakazi au makubaliano mnafanyaje
 

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
623
500
Hiv ata mwanaume anaweza fungua hii kitu
Siku utatoka huko kijijini kwenu ndio utaelewa. Mbona mwenge vijana wengi wakiume wanapiga iyokazi. Kariakoo ivoivo. Hapo bado hujakwenda Botswana uone wazambia nawa Angola wanavo suku wanake. Acha ushamba kijana.
 

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
623
500
Habari wanajamvi,

Nataka kumfunfulia saluni Dogo aweze kupata riziki ya kila siku....hana uzoefu na biashara hii ingawa anapenda. Hivyo Tafadhali mwenye uzoefu a-share nasi hapa kupata ujuzi zaidi.

Gharama za vitendea kazi kama dryers za chini na juu....stemer(spelling)
Viti vioo nk nk

Kipi muhimu sana

Kwa saluni za kileo nini kiwepo kipi kisiwepo

Shukrani

Malipo ya wafanyakazi au makubaliano mnafanyaje
Kwanza kabisa iyo Saloon umepanga kuifungulia sehem gani. Mkoani ao hapa hapa Dar, alafu kitu chakuzingatia kwenye hii biashara ya saloon ni mtaji. Namaanisha umejiandaa na kiasi gani kama mtaji. Vifaa vyasaloon vipo kwa bei tofauti tofauti. Kwakumalizia kabisa ipo saloon inauzwa kama bado unaitaji ni Pm nikupe mawasiliano ya Mmiliki muongee wenyew. Saloon yake niya kisasa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom