MM nko interest sana nta fanya yote ata radio pia ila kwanza nataka nifanye yafuatayo
1:kusajiri jina la kituo wasije iba
2:vipindi tayari ninavyo
3:kuzidi kuchambua njia za kuwafikia watu
4:instagram
5:facebook na twitter account
6:website na blogsport