Msaada: Nataka Kuagiza Simu AliExpress

Msaada: Nataka Kuagiza Simu AliExpress

shukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu.
Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo
 
Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo
Na bei ya vitu vyao iko juu kuliko AliExpress pia, na wao ndo mabingwa wa kuuza vitu vibovu na used, vipya vichache sana.
 
Pia zpo kwenye app ya kikuu huko ni rahisi kununua kuliko aliexpress
Bora Aliexpress.. Kikuu ni gusa unate and they don't care na ukibahatika kupata kitu halisia shukuru MUNGU sana.
 
Back
Top Bottom