kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Mkuu hilo la postal code mim nalijua...sasa huyo mdau kasema Tanzania tuna mfumo wa zip code na katoa zip code ya tz..ndo nmemwambia aweke link ambayo ni official inayosema Tanzania ina zip code na ni hiyo aliyo iweka yeyeKwenye zip code jaza post code ambazo ni tofauti kwa kila mkoa na kila kata post code yako ipo kwenye kitambulisho Chako cha nida baada ya mwaka wa kuzaliwa 20000718-postcode-00
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app