Msaada: Nataka Kuagiza Simu AliExpress

Msaada: Nataka Kuagiza Simu AliExpress

Utaipokelea POSTA na huenda ikapitishwa CUSTOM ili kulipa ushuru na kodi ya ongezeko la thamani. Vile vile Posta wanachaji gharama ya kukupokelea huo mzigo TZS 5,900. Nimesema "huenda" maana kama thamani ya kifurushi ni ndogo hawapeleke "Customs"
Ukitumia standard shipping Posta hawachaji

Sent from my Mi A3 using JamiiForums mobile app
 
na vipi kama huna sanduku la posta inakuaje nisaidie mkuu nataka kuagiza simu huko
Mimi sina sanduku la posta uwa naagiza naweka fake address uwa mzigo ukifika wanatuma msg kuwa ukachukue mzgo wako. Ila usifuate maneno yangu ila mimi nishaagza vitu vingi na sanduku la posta sina japo uwa anweza sanduku la pastor flani lakini hajawahi tokea wakaingiza mzigo kwenye hilo sanduku
 
ok asante boss kwa ushauri kidogo ningeingia mkenge.

Asilimia kubwa tunaagiza na hatuna sanduku la posta.

Weka namba ya simu na mahali unapoishi au unapotaka kupokelea( kwa mfano Dar kisutu na namba ya simu) utatumiwa sms mzigo ukifika posta ya hapo karibu.

Utaenda na kitambulisho chako (leseni au Nida au Kura....)

Utalipia sorting fee kuanzia 1200 hadi 5900

Uta sign kupokea mzigo
 
shukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu.
 
shukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu.
Yaani kikuu achana nako kabisa. Aliexpress ndio mpango mzima.

Nimeshaagiza vitu kadhaa bila shida.

Angalia tu review kabla ya kulipia, hii itakusaidia kupata mzigo kwa wakati na bora.

Angalia product unayotaka kwa sellers tofauti tofauti, ukiona umependa hii product gonga like (itaenda kwenye wishList) baadae unaingia kwenye wishlish unachuja tena ipi imekubamba zaidi nadio unaweka kwenye CART na baadae unalipia
 
ok asante boss kwa ushauri kidogo ningeingia mkenge.
Mimi sina sanduku la posta na huwa naagiza kama kawaida mzigo wangu ukifika posta natumiwa sms, nmeambatanisha na ushahidi kabisa huo mzigo nimeuchukua jana, hivyo wasikutishe umakini unatakiwa kule Aliexpress, nunua kwa seller mwenye positive feedback za kutosha, ni mwaka wa tatu huu naagiza bidha Aliexpress na hakuna mzigo uliowahi kupotea wala kuletewa kitu fake
 
Attachments

  • 20201119_202151.jpg
    20201119_202151.jpg
    30.3 KB · Views: 24
Zip kodi kwa Tanzania ni 255
Sio kweli postal zip code zina tofautiana kutokana na eneo kwenye id yako ya nida pale kwenye zile namba tano zonazofuatiwa basda ya particular/details zako za kuzaliwa ndio zip code , au piga 152 , 00 . Nyota na reli zizingatiwe utaipatq
 
Country Zip Code iko kwenye kadi ya NIDA?
 
Naomba official source ya hii zip code kwamba ni ya Tanzania

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kwenye zip code jaza post code ambazo ni tofauti kwa kila mkoa na kila kata post code yako ipo kwenye kitambulisho Chako cha nida baada ya mwaka wa kuzaliwa 20000718-postcode-00
 
Back
Top Bottom