Msaada: Nataka Kuagiza Simu AliExpress

Msaada: Nataka Kuagiza Simu AliExpress

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
200
Reaction score
333
Habarini za asubuhi wataalamu.

Kuna simu ndogo nimeipenda (angalia picha chini) ipo AliExpress nataka kuagiza.

Naomba kujua ikishafika Tanzania naenda kuipokelea wapi. Kwa wale waliowahi kununua bidhaa AliExpress naomba msaada.
20201119_071421.jpg
 
wakuu mnisaidie kwenye zipcode unajaza nini mi niko dodoma makuru
 
Habarini za asubuhi wataalamu.

Kuna simu ndogo nimeipenda (angalia picha chini) ipo AliExpress nataka kuagiza.

Naomba kujua ikishafika Tanzania naenda kuipokelea wapi. Kwa wale waliowahi kununua bidhaa AliExpress naomba msaada.View attachment 1629653
Utaipokelea POSTA na huenda ikapitishwa CUSTOM ili kulipa ushuru na kodi ya ongezeko la thamani. Vile vile Posta wanachaji gharama ya kukupokelea huo mzigo TZS 5,900. Nimesema "huenda" maana kama thamani ya kifurushi ni ndogo hawapeleke "Customs"
 
Utaipokelea POSTA na huenda ikapitishwa CUSTOM ili kulipa ushuru na kozi ya ongezeko la thamani. Vile vile Posta wanachaji gharama ya kukupokelea huo mzigo TZS 5,900. Nimesema "huenda" maana kama thamani ya kifurushi ni ndogo hawapeleke "Customs"
mkuu zip code hua inajazwaje et
 
Back
Top Bottom