Msaada, nataka kuagiza mafuta yangu mwenyewe

Msaada, nataka kuagiza mafuta yangu mwenyewe

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,530
Reaction score
46,614
Kama mtu anavyojiagizia gari mwenyewe toka Japan, hata mafuta yangu nataka kuagiza mwenyewe kwa matumizi yangu binafsi
 
Sio tanzania Mafuta yote yanaagizwa na kampuni moja iliyopata tender ili kudhibiti bei sokoni
 
Tafuta muarabu au mnaijeria kule mitandao ya twita au fesibuk, mtumie pesa mwambie akutumie kwa DHL au FEDEX...
 
Ukishindwa kuagiza uliza South Africa wana mbinu yao wanaiita Gasification ya makaa ya mawe kutoa diesel,petrol na hata mafuta ya ndege kwa kupitia kampuni yao SASOLBURG phase 3..
 
Agiza tu hizo pipa tatu, mpaka yakifika bei inaweza kuwa mara mbili ya kununua hapo ulipo
 
Usipoteze muda uganda yamejaa bei chee kabisa,vuka mtukula tu mpwa ukajizilee wese
 
Back
Top Bottom