wasalaam ndugu zangu wakristo na watukufu waislam,,,,,,,,,,,,
kwa mda mrefu nimekuwa ni mpenzi wa nyama ya nyiongeza au kisamvu cha kopo almaarufu 071,,,,,,,,,
kwa kweli nimeona ni maisha ya dhambi na kwa dhati nataka kuacha nifanyeje?
nakala kwa ndugu zangu waheshimiwa
Madame B,,,,,, Heaven on Earth,,,,,,, Evelyn Salt,,, asakuta same, ,,,,,, Lady doctor ,,,,, lara 1 watu8, ,,,,,, Baba V na wana MMU WOOTE natanguliza shuklani
vp umeisha anza kuvaa nepi kama mtoto ila poa endelea tu siku hizi kuna pampars tena bei ndogo
mie sijui ukitaka kuacha unafanyaje....ila huo mchezo siupendi kabisaaa
Hebu fafanua, wew ni mla au mliwa?? tunataka tujue tunakusaidiaje..
Kale YAMINI na Uombewe Itikafu, na baada ya hiyo Itikafu waambi ikishindikana na ukarudia basi ufanyiwe Mubahala endapo ukirudia urudishe kadi kwa Mola.