kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Nakushauri usubiri usiuze sasa. Subiri bei ipande nadhani mwanzoni mwa mwaka utapata pesa nzuri.Wakuu habari zenu,Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari...
Pm kwa taarifa yyte.
Hongera kwa mavuno mazuri! Mahindi yanahitajika sana Kenya, Sudan Kusini na Ethiopia ila yaende kama unga! Kwa kuwa wewe ni mkulima mkubwa ni vema kufanya mpango wa kuanzisha kiwanda cha usagishaji. Pale UFI Dar kwa wachina kuna machine nzuri au kwa kupunguza gharama unaweza kuagiza kutoka china. Ingia kwenye website yao www.alibaba.com. Angalia bei zao.Wakuu habari zenu,Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari...
Pm kwa taarifa yyte.
Baada ya kuzuia kusafirisha nje, mradi huu umeingia ruba, kuwa makini. Kwani huko vijijini ni mengi mno, kuwa makini.Nakushauri usubiri usiuze sasa. Subiri bei ipande nadhani mwanzoni mwa mwaka utapata pesa nzuri.
Duh!!! Basi hatari sana. Wakulima tulie tu.Baada ya kuzuia kusafirisha nje, mradi huu umeingia ruba, kuwa makini. Kwani huko vijijini ni mengi mno, kuwa makini.
Mdau wa sekta
Why PM,Wakuu habari zenu,Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari...
Pm kwa taarifa yyte.
Baada ya kuzuia kusafirisha nje, mradi huu umeingia ruba, kuwa makini. Kwani huko vijijini ni mengi mno, kuwa makini.
Mdau wa sekta
Natafuta hizi Mashine mkuu...sitaki kuagiza..nataka kuziona na kufanya makubaliano..NASHUKURU KWA KUNIJURISHA...NITAENDA UFI...au ni wapi kwengine?Hongera kwa mavuno mazuri! Mahindi yanahitajika sana Kenya, Sudan Kusini na Ethiopia ila yaende kama unga! Kwa kuwa wewe ni mkulima mkubwa ni vema kufanya mpango wa kuanzisha kiwanda cha usagishaji. Pale UFI Dar kwa wachina kuna machine nzuri au kwa kupunguza gharama unaweza kuagiza kutoka china. Ingia kwenye website yao www.alibaba.com. Angalia bei zao.
Wewe,mleta uzi na huyu[emoji116] [emoji116]Natafuta hizi Mashine mkuu...sitaki kuagiza..nataka kuziona na kufanya makubaliano..NASHUKURU KWA KUNIJURISHA...NITAENDA UFI...au ni wapi kwengine?