Msaada, natafuta mtaalamu wa saikolojia

shavada

Member
Oct 21, 2017
11
7
Natumaini wote ni wazima humu ndani.

Nina tatizo hivyo nahitaji kumuona mtaalamu wa mambo ya saikolojia au kuunganishwa na mwanasaikolojia yeyote ila nikimpata aliyopo mbeya nitafurahi zaidi.

Nawatakieni usiku mwema
 
ila nahisi hata humu wapo, kuna mmoja alikua anauzi wake anashauri watu wanamuuliza maswal mbalimbali
 
Back
Top Bottom