Ok napafahamu, nitapita hapo monday thanksKajaribu kuangalia duka la KVD kule Posta Dar.
Sijui kama bado hilo duka lipo. Sijapita hapo miaka miwili au mitatu.
kariakoo ni ngumu kweli kupata labda posta na kuna duka lingine liko mikochen wanakuwaga nazoHuwezi kupata, nilihangaika sana, nimapata copy atleast Ina uanafuu. Usije kununua sure Sm58 omn direction , zote ni feki
Mrejesho kakaHabari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna
h9(512-542Mhz)
h10(542-572Mhz)
h11(572-596Mhz)
J11(596-616Mhz)
Sure, mic og bongo zipo kabisa, na nilizikuta katika maduka matatu, city music sound kariakoo, topshop sound uhuru, kvd wanakuwaga nazo sema out of stock. na bei pia zimesimama, blx24 pg58 single 1.8m, double 2.4m, blx sm58 double 3.5m.. wengi hawaziuzi sababu wateja ni wachache na stock inaweza kukaa muda mrefu.Mrejesho kaka
City sound wanuza vitu bei juu sanaSure, mic og bongo zipo kabisa, na nilizikuta katika maduka matatu, city music sound kariakoo, topshop sound uhuru, kvd wanakuwaga nazo sema out of stock. na bei pia zimesimama, blx24 pg58 single 1.8m, double 2.4m, blx sm58 double 3.5m.. wengi hawaziuzi sababu wateja ni wachache na stock inaweza kukaa muda mrefu.