Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa ajili ya kitoweo na pembe.hivyo mwenye idea wapi ntapata ndovu wazuri anifahamishe.natanguliza shukrani.Ukipata ujumbe huu umjulishe na mwenzako
....Mbegu hizo zipo ila gharama yake ni lazima ukubali kupakwa mafuta.
charger!Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa ajili ya kitoweo na pembe.hivyo mwenye idea wapi ntapata ndovu wazuri anifahamishe.
Mbegu hizo zipo ila gharama yake ni lazima ukubali kupakwa mafuta.