Msaada, natafuta kazi

Issa Jr7

New Member
Feb 3, 2016
2
0
Nimeitwa ktk company moja ivi APA DSM ktk,interview cha ajabu ninachokiona mm APA ni kuwa nilichosoma mm na iyo company ni vtu viwili tofauti kbsaa sasa mpka mdaa huu najaribu kujiuliza kuwa Uko ninaenda kufanya interview ya aina ganiii...
 
Aisee mkuu hivi hiyo kazi umetafuta au umeletewa taarifa tu?
Maana kama uliomba ulijua uta fit na uta ji adjust ku cope na mazingira ya kazi husika!
Maswali utajua hapo hapo na utayajibu tu sidhani kama umemaliza chuo mtupu huwezi hata kujieleza hiyo itakua kesi nyingine!
All the best:
 
Back
Top Bottom