Msaada: Natafuta kazi yeyote

Msaada: Natafuta kazi yeyote

JamiiForums Invisible Moderator nimepata kazi tayari, naomba ufute hii thread ili kuniepushia usumbufu.
Mkuu na mie natafuta kazi
Nimepiga IT ila field yangu zaidi nimefanya kwenye Data yapasa miaka 2 sasa juzi juzi tulikosa contract kwani tulikuwa subcon wa Company flani hapa Dar es Salaam

Niko vizuri kwenye computer na office suite pia

Nawasilisha
 
Jamani wadau narudi tena kwenu yule ndugu ambae alikuwa ni operation manager katika kusimamia vituo vitatu vya mafuta bado anahitaji msaada wa KAZI hiyo yuko dar kwa sasa no zake no 0714400414-0788997980 ni mtaalamu wa computer pia amesomea biashara msaada wenu wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom