Natafuta fundi aliyeko Dar Upanga au Kariakoo. Nina computer yangu laptop Acer inawaka vizuri ila hai display ni pointer tu naiona ila vingine sioni. Nili nunua anti virus Kaspersky ndio problem ilipo anza
Loh! Kaspersky nyingi ni fake na uwingi wa u-fake umeongezeka kwa sababu ya demand yake kwa mtaa pamoja na gharama kubwa ya kupata OG.
.
Hiyo pasipo kupepesa macho ni fake huenda baada ya kui-install aka update na BIOS
Ukiachilia ukubwa wa umri ya pc yako ila inaonekana si mpenzi wa hiyo rangi nyepe maana naona kama niko ngorongoro naangalia zebra,ZINGATIA USAFI KWA VIFAA VYAKO ATA UKIWA MUUZA MKAA ILA USAFI NUMBER1