Msaada..Natafuta Farasi.

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,662
Reaction score
7,834
Naomba anaejua farasi wanapopatikana,nataka wa kunisaidia kwa usafiri...Najua ntatembea mikoa yote bila bughudha Halafu nasikia ndio usafiri salama kuliko yote Duniani.
 
Kuna mzee mmoja anaitwa Njiu anafuga since way back maeneo ya Kiluvya
 
Naomba anaejua farasi wanapopatikana,nataka wa kunisaidia kwa usafiri...Najua ntatembea mikoa yote bila bughudha Halafu nasikia ndio usafiri salama kuliko yote Duniani.
Nenda pale polisi kurasini wapo wa kutosha tu
 
Ukifika nae morogoro we kidume.na madaktari wawe tayari
 
Ranchi ya Kitulo kama ilivyopendekezwa hapo juu

Inawezekana kabisa kumiliki farasi.

Bila shaka umejiandaa na matunzo ya farasi wako

Unaweza ukamwita Jackson, Sessekwa au jina lolote tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…