PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
Habari zenu accademicians,
Napenda kuleta ombi langu kwenu,nahitaji msaada kwa anaye fahamu vyuo vilivyopo hapa Dsm, mm ni Mwl. by professional, nimehitimu degree ya kwanza (Bachelor) ya ualimu na degree ya pili( Masters MBA) ,
Lakini moyoni ninavutiwa kufundisha natafuta vyuo vya Business, Marketing, sales nk nitakavyo apply ila sivifahamu vya diploma au vyenye kutoa certificate..
Nimekwama kuomba vyuo vikuu kutokana na kuto kidhi vigezo vyao, maana wao wanataka GPA ya kuanzia 3.8 ,bachelor na mm nilipata 3.5 pia na Masters nika maintain hyo hyo ya 3.5.
Naomba kuwasilisha ...mwenye taarifa karibu PM.
Asanteni wasomi.