tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,143
Wadau nina tablet mpya ya Samsung galaxy tab 3...tatizo limekuja kwenye kutumia play store, toka juzi naambiwa there is problem in connecting google server...
Nimejaribu account ya zaman na hata kucreate mpya bado imegoma, msaada wenu tafadhali wakuu!!
Nimejaribu account ya zaman na hata kucreate mpya bado imegoma, msaada wenu tafadhali wakuu!!