Msaada: nashindwa kutumia subwoofer langu kwa raha

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,576
Reaction score
8,329
Watalaam, nina subwoofer langu linatumia umeme wa DC ila sasa natumia umeme wa AC huu huu wa tanesco kwa adopter, subwoofer Ina 12V na adopter ina out put 12V pia. Sasa ajabu nikiongeza sauti kubwa woofer inazima. Nini tatizo?
 
Nadhan hapa tatizo ni uwezo wa adapter, je ipi adapter sahihi kwa maana ya volt au ampere iwe ngapi?
Nothing like expiry date here! It is the matter of correct/ proper connections and correct specifications of both passive and active components of the circuit!
 
Current operating ya adopter ni ndogo.
12v 500ma
12v 800ma
12v 1000ma = 1A
12v 1.2A
12v 1.5A
12V 2A
12v 2.5A.
Sasa yako ni ipi? Nikuambie inayokufaa. Anglia ilipoandikwa [emoji298] out put utujulishe tumalize tatizo.
 
12V 4.2A
Current operating ya adopter ni ndogo.
12v 500ma
12v 800ma
12v 1000ma = 1A
12v 1.2A
12v 1.5A
12V 2A
12v 2.5A.
Sasa yako ni ipi? Nikuambie inayokufaa. Anglia ilipoandikwa [emoji298] out put utujulishe tumalize tatizo.
 
Watalaam, nina subwoofer langu linatumia umeme wa DC ila sasa natumia umeme wa AC huu huu wa tanesco kwa adopter, subwoofer Ina 12V na adopter ina out put 12V pia. Sasa ajabu nikiongeza sauti kubwa woofer inazima. Nini tatizo?
Toleo la mwaka gan lisilokuwa na option ya AC??!!
 
fanya kupeleka kwa fundi akutengenezee. Kwa kawaida Subwoofer nyingi zenye option ya DC huwa na sehemu ya AC pia (lazima). Hiyo sehemu uliyounganisha adpter si mahala pake. Ac ina component zinazoconvert umeme wa ac kuwa dc kwa ujazo unaotakiwa. Tofauti na hilo, jiandae tu kununua mpya maana muda si mrefu itazima kabisa
 
Ni dundo la kwenye gari, nalo linayo iyo sehemu?
 
Una options 2 mkuu;-
1.Either usiongeze sauti MPAKA ikazima
2.Or fanya utaratibu wa kupata subwoofer yenye kutumia kutumia AC
1. Inaninyima raha hadi nimeomba msaada hapa,
2. Ya AC hayagongi Kama ya kwenye gari, ya AC ambayo at least inayogongapo ni bei ghali. Michina siiamini
 
Angalau Seapiano inabamba. Au ununue HOMETHEATER
 
Back
Top Bottom