Msaada; Nashindwa kutumia line ya tigo kwenye internet!!

Msaada; Nashindwa kutumia line ya tigo kwenye internet!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,149
Habari zenu!!
Mara nyingi natumia line ya voda kwenye simu yangu, galaxy ace 2!! Sasa kila nikijaribu kuweka line ya tigo internet haikubali pamoja na kufanya setting upya kwenye Apn!

Je tatizo linaweza kuwa ni lipi? Maana nikirudisha chip ya voda inafanya kazi kama kawaida!!
 
jaribu kuwapigia tigo wakutumie configuration
 
Back
Top Bottom