Tayari wamenitumia majibu kwenye email yangu. Kwamba nmefanikiwa kuhama chuo lkn nikitumia index no yangu kuangalia inaandika not foundTransfer mwisho tarehe 15 kwaiyo wamefunga tayari.
Daah wametuma lini emails, Kuna mdogo wangu aliomba kubadilisha mpaka leo hamna majibu sijui ndio wamemtosa?Tayari wamenitumia majibu kwenye email yangu. Kwamba nmefanikiwa kuhama chuo lkn nikitumia index no yangu kuangalia inaandika not found
Check email address yako wameisha julisha watu toka janaNimefanya transfer ya Chuo cha afya kupitia NACTE lakini kila nikijaribu kusearch result kupitia index no yangu inaandika not found had nitumie username yangu na password
Email wametuma jana kwa waombaji woteDaah wametuma lini emails, Kuna mdogo wangu aliomba kubadilisha mpaka leo hamna majibu sijui ndio wamemtosa?
duuuuh hiii ni shida sasa, sasa wametumiwa waliofanikiwa tu au wote na waliokosa?Email wametuma jana kwa waombaji wote
Wametuma kwa wote mfano mm wamenitumia Jana saa nne uckuduuuuh hiii ni shida sasa, sasa wametumiwa waliofanikiwa tu au wote na waliokosa?
Ok, Basi labda bado wanatuma mkuu.. Mdogo wangu hajapata email mpaka sasa badoWametuma kwa wote mfano mm wamenitumia Jana saa nne ucku
Mmmmhh!! Pole endelea kuvuta Subira japo walisema wanatoa majibu ndani ya masaa 48 yan juz na janaOk, Basi labda bado wanatuma mkuu.. Mdogo wangu hajapata email mpaka sasa bado
Ni kweli mkuu, nadhani itabidi akafuatilie physically keshoMmmmhh!! Pole endelea kuvuta Subira japo walisema wanatoa majibu ndani ya masaa 48 yan juz na jana