Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Msaada tafadhari simu yangu ni zaidi ya wiki imegema kudownlod application yeyote play store na storage bado kubwa
Unapata error gani? Inafunguka playstore inakataa kudownload ama haifunguki kabisa?Msaada tafadhari simu yangu ni zaidi ya wiki imegema kudownlod application yeyote play store na storage bado kubwa
Umeandika kifupi kweli kweli.Msaada tafadhari simu yangu ni zaidi ya wiki imegema kudownlod application yeyote play store na storage bado kubwa
Inafunguka inakataa kudownlodUnapata error gani? Inafunguka playstore inakataa kudownload ama haifunguki kabisa?
Sio kweli mbona infinix hot 8Uwezo wa sim yko n mdogo kaka
ingia playstore gusa ile hamburger menu juu kushoto kisha nenda my apps and games angalia hakuna app ambayo ipo pending kudownload? kama ipo jaribu kui cancel.Inafunguka inakataa kudownlod
Umefanikiwa? Kama bado jaribu ku download ukiwa umewasha VPNMsaada tafadhari simu yangu ni zaidi ya wiki imegema kudownlod application yeyote play store na storage bado kubwa