Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Tumia cf root ya chainfire jamaa ndio recognized developer WA kuroot Samsung. Hizo njia za juu nyingi Ni kwa ajili ya simu za made in ......
Hiyo nayo imegoma mkuu. Daahh
Daah, hatibu tena framaroot soma maelekezo vizuri
Pole na jaribu njia nyingine, I mean handset ingine.
Okay, Noted, nitawapa feedback
Wakuu nimekuwa nikitamani sana ku-root simu yangu lakini nashindwa. Nilijaribu kwa kutumia Towelroot na kingoroot lakini wote wameshindwa. Nimecheki cpu-z inaonyesha simu yangu haina access ya root, je hii yaweza kuwa sababu? Msaada wataalamu
Nimekumbuka jambo, last time nlitumia kingo root ebu uchek na hii hapa http://www.kingoapp.com/root-tutorials/how-to-root-galaxy-s4.htm
Tumia built kinguser badala ya SUIngawa bado nina shida ya kupdate su binary, nimejaribu kufuata maelekezo kwenye forum xda lakini bado inaleta kichwa ngumu. All in all the phone is already rooted
Tumia built kinguser badala ya SU
Sawa, ila mimi ipo kingouser not kinguser lakini pia nayo inanidai update. Jana nilijaribu superuser pia though I'm not comfortable with it.
Sawa, ila mimi ipo kingouser not kinguser lakini pia nayo inanidai update. Jana nilijaribu superuser pia though I'm not comfortable with it.
Inapafm the same ila kama unataka SU inabidi utumie odin ila sasa unahitaji umakini usije crash ROM
Naona pia una SU tatu, ukitaka kutumia aina Fulani lazima utoe hizo zingine
Naona pia una SU tatu, ukitaka kutumia aina Fulani lazima utoe hizo zingine
Yah nimeshazitoa kama ulivyonielekeza kwenye pm, the thing is now working, najaribu kuupdate binary
* Unatumia android version ipi?....