Msaada: Nashindwa ku-download apps kwenye Lumia

Msaada: Nashindwa ku-download apps kwenye Lumia

sydney60

Senior Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
113
Reaction score
43
Nina nokia lumia 520 ila kila nikidownload apps kutoka kwenye store yao inaandika error code 80070490 nimeifanyia hard reset nikaingiza tena google account ila bado tu, nifanyaje ili niweze kudownload apps kama wasap na zingne kiurahic au njia ya kuondokana na tatzo hili la error code!
 
na nokia lumia 520 ila kila nikidownload apps kutoka kwenye store yao inaandika error code 80070490 nimeifanyia hard reset nikaingiza tena google accnt ila bado tu nifanyaje ili niweze kudownload apps kama wasap na zingne kiurahic au njia ya kuondokana na tatzo hili la error code

Kwa ni hiyo lumia inatumia windows au Android? Fanya software update kwanza
 
na nokia lumia 520 ila kila nikidownload apps kutoka kwenye store yao inaandika error code 80070490 nimeifanyia hard reset nikaingiza tena google accnt ila bado tu nifanyaje ili niweze kudownload apps kama wasap na zingne kiurahic au njia ya kuondokana na tatzo hili la error code

Weka akaunti ya Hotmail i.e Live
 
hivi ntawezaje kudownload application za android ndani ya simu ya microsoft msaada
Kama kuzi download mtandaoni na kuzi save tu kwenye simu kama picha inawezekana ila kama unataka kuzi download uzi-install then uzitumie, Kiongozi hiko kitu hakiwezekani. Hiyo ni mifumo miwili tofauti!! Kama umejikuta umependa apps nyingi za android bora ukabadili simu ukanunua simu inayotumia mfumo wa android kama tecno, samsung, Huawei na nyinginezo





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom