MSAADA KWENYE TUTA

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
2,343
2,000
Simu yangu Microsoft Lumia 640xl, nime reset simu sasa kila Niki download app zinakataa na linakuja neno simu imeshindwa kudownload "error code 80070020" sasa nimeshindwa kujua tatizo nini
 

OL5

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
368
500
Hilo tatizo limenipata na mimi baada ya kuomba msaada kwenye microsoft community,Nilipata temporary solution ya hilo tatizo,
1.Badilisha tarehe weka za mwezi wa kwanza.
2.Badilisha muda unaweza tumia wa sasa ila ukaweka AM instead of PM.

Ni hayo tu utadownload vyote utakavyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom