Msaada: Napigwa na mke wangu

Vijana wa mikoani shida!
Kulia mnalia ninyi,kupigwa mnapigwa ninyi.....
Any way kafungue mashtaka kituo cha polisi ukishindwa tafuta kijana wa Dar akufundishe kuepukwa kupigwa na mwanamke
Kwani mleta mada amedisclose location yake? Unajuaje kuwa na yeye sio mwanaume wa daslam
 
Aiseee... Mimi nilijua ni upande mmoja tu kumbe kuna ke wababe ngumi mkononi?? [emoji23] [emoji23]
 
nimejifunza kitu sitaowa mbeya naile miili wakipiga inaonyesha wanapiga haswaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanaume kamili hawezi kukubali kupigwa na mwanamke kwa hali yoyote.

Acha uoga
 
Duh!!!
 
Vijana wa mikoani shida!
Kulia mnalia ninyi,kupigwa mnapigwa ninyi.....
Any way kafungue mashtaka kituo cha polisi ukishindwa tafuta kijana wa Dar akufundishe kuepukwa kupigwa na mwanamke
Bro mi nakaa dar
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakua umeoa mtu wa Mbeya nini? Tafiti zaonesha unyanyasaji wa kijinsia kwa wanaume umekithiri sana Mbeya (sina source)

Pole sana mkuu! Kua kidume. Wanawake nao wanaangalia dizain ya wanaume wa kuwaonea!
Kwel ni mnyakyusa
 
Ustuletee nonsence humu. Yaan mwanaume mzima unapigwa na mkeo halafu unakuja kusimuliwa wanaume wenzako. Unataka tukufanyeje. Yaan anakupiga kwani wanawake wastarabu wameisha mtaani.
Sasa ka huna msaada lazma uchangie
 
Acha ujinga ww stori zako za kutunga tumezichoka mara unapndwa na wanawakr Mara porn za wanyama sijuh wadudu tukueleweje sasa
 
Jitahidi uwe unamfikisha kileleni uepukane na kipigo ..........................yani nguvu za kiume huna,hata nguvu za kupigana pia huna.....ukishindwa kutatua tatizo basi wewe ndio TATIZO..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…