Msaada: Napenda sana kufanya mapenzi

Msaada: Napenda sana kufanya mapenzi

Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex sana yani hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza, si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na muhusika yani hamu huwa haniishi.
Ukizoea utaona kitu cha kawaida tu mapenzi
Kwa sasa umri wako bado so unaona kama sex ndiyo kila kitu
Ukianza kuombwa MIAMALA utapunguza tu sex
 
Chukua pilipili kichaa changanya na dawa yakuchua ya Volin kisha weka na chili source kisha sugulia kwenye gegedo wahlah nakuapia utafurahi kweli kweli.
 
Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex sana yani hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza, si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na muhusika yani hamu huwa haniishi.
Kuwa spesifiki, unapenda kufanywa au kufanya tujue jinsia.
 
Kichwa cha this thread ilipaswa kiwe KUTOISHIWA HAMU YA KUFANYA MAPENZI. Maana kama unaweza kukaa hata mwezi bila kugegeda/kugegedwa basi huko siyo kupenda sana kufanya mapenzi.
 
sidhani km kutoa ushauri ni lazima ujue km ni mwanaume au mwanamke we toa tu ushauri, nahisi ndo maana humu watu hawapendi kutumia real name, toa ushauri tu

Huna adabu,

Sasa utaunganishwaje Na mpenda kuduu Kama wewe!!

Taja jinsia watu waitumie fursa hiyo!
 
Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex sana yani hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza, si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na muhusika yani hamu huwa haniishi.
unamidubwasha ya ngono na uzinzi!
 
Back
Top Bottom