Msaada: Napenda sana kufanya mapenzi

Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex sana yani hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza, si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na muhusika yani hamu huwa haniishi.
khaaaa!!!
 
sidhani km kutoa ushauri ni lazima ujue km ni mwanaume au mwanamke we toa tu ushauri, nahisi ndo maana humu watu hawapendi kutumia real name, toa ushauri tu
Naona unataka kutujazia pages kwa kitu kisicho na maana,unataka msaada kutoka kwa wadau humu,halafu hutaki kusema jinsia yako,sasa tutajuaje hisia zako kama unaficha?mwanamke akipenda sana kukazwa tunajua tatizo ni nini?na mwanaume akipenda sana vitumbua pori tunajua tatizo liko wapi,sasa wewe unaleta mambo ya shule za bweni hapa?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom