hili ni jukwaa la great thinkers kama huna cha kukomenti ni bora uka kaa kimya.Bila shaka umerogwa ndugu yangu, fanya hima Rudi kwenye kaburi la bibi na babu zako wa ukoo watakusaidia!
hili ni jukwaa la great thinkers kama huna cha kukomenti ni bora uka kaa kimya.Bila shaka umerogwa ndugu yangu, fanya hima Rudi kwenye kaburi la bibi na babu zako wa ukoo watakusaidia!
hili ni jukwaa la great thinkers kama huna cha kukomenti ni bora uka kaa kimya.
Una miaka mingapi? na jinsi gani?Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex sana yani hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza, si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na muhusika yani hamu huwa haniishi.
kujua jinsi ni muhimu. u cm not 2b interested with people's advice.sidhani km kutoa ushauri ni lazima ujue km ni mwanaume au mwanamke we toa tu ushauri, nahisi ndo maana humu watu hawapendi kutumia real name, toa ushauri tu
ThanksFanya mazoezi kupunguza mihemko