Msaada, napatwa na muwasho sehemu za siri

Wakuu habari.

Jamani wiki iliyopita nilipata muwasho sehemu za siri usio wa kawaida. Muwasho huo uliambatana na uchafu wa rangi ya maziwa uliofanana na mtindi lakini haukuwa na harufu. Yaani niliwashwa hadi nikapata michubuko na nunu ikavimba.

Nikakimbilia hospitali. Nilimueleza daktari hali halisi wala sikuficha kitu,akaamuru nipimwe mkojo. Majibu yalitoka nina u.t.i nyingi sana. Akaniandikia dawa ziitwazo cipro na doxy. Dawa hizi zimenisaidia kidogo ila zimeathiri afya yangu maana ninanyonyesha, hivyo maziwa hayatoki vizuri kama mwanzo.

Swali: je u.t.i inaweza kusababisha muwasho sehemu za siri unaoambatana na uchafu ?
Mkuu ni vyema ukatafuta huduma mapema ila huenda ni kweli una U.T.I Kali lakini dawa ulizopewa hazijakusaidia nakushauri ukapime vizuri halafu ujaribu sindano.

Huenda ni gono jaribu kwenda kituo Cha afya chenye wataalam watakaokutibu kwa vipimo na dawa sio kwa maneno.

Pole sana mkuu!!
 
Wakuu habari.

Jamani wiki iliyopita nilipata muwasho sehemu za siri usio wa kawaida. Muwasho huo uliambatana na uchafu wa rangi ya maziwa uliofanana na mtindi lakini haukuwa na harufu. Yaani niliwashwa hadi nikapata michubuko na nunu ikavimba.

Nikakimbilia hospitali. Nilimueleza daktari hali halisi wala sikuficha kitu,akaamuru nipimwe mkojo. Majibu yalitoka nina u.t.i nyingi sana. Akaniandikia dawa ziitwazo cipro na doxy. Dawa hizi zimenisaidia kidogo ila zimeathiri afya yangu maana ninanyonyesha, hivyo maziwa hayatoki vizuri kama mwanzo.

Swali: je u.t.i inaweza kusababisha muwasho sehemu za siri unaoambatana na uchafu ?
ugonjwa wako mdada unafanana na Klamedia au gono kutokana na hizo dalili umezitaja,lakini majibu sahihi yapo hosptalini,,huku majibu tunayo ila tunaguess tuu,nenda kapime Klamedia,gono,UTI kama huna kati ya haya mwambie daktari aangalie Sexual Transmitted Diseases (STD),hadi kufikia hapo lazima utakua umepata majibu ya tatizo lako.

NB:
1.Ongeza usafi binafsi wa sehem nyeti kama hizi,that is follow all principles of personal hyigiene.

2.Punguza matumizi mabaya ya papuchi yako.

3.Regular body checkup na usisubiri hadi ugonjwa umefikia hatua kubwa hivyo wakati dalili za awali uliziona,hii ni hatari sana.

4.Muone daktari sahihi wa masuala ya uzazi na magonjwa ya via vya uzazi.

5.Mlo kamili (Balanced diet).
 
Hiyo ni Varginal Yeast Infection wala sio tatizo kubwa sababu asilimia 70 ya wanawake duniani kote hupatwa na hiyo infection,

Kunywa maziwa mtindi glass tatu kwa siku ukiweza mengine paka kwenye pedi kisha ivae, ndani ya siku 3 tu ishapotea.

NOTE: Kunywa maji mengi na mananasi
 
duuu mkuu hii tiba yako nimeipenda,xema nini tusiendeshe maisha kistyle hii,medical treatment ndio tiba sahihi ila hiyo ya kupaka maziwa kwenye sanitary ped alafu uweke huko maeneo ya chumvini,,,,
sory,culture gal
 
Unaweza kugoogle Vaginal Yeast Infection kisha utapata maelezo yote siwezi kukufafanulia sana sababu sio mtaalam ila kuna magonjwa mengine ONLY WOMEN CAN UNDERSTAND and vice versa,
sasa ukibisha nitabaki kukushangaa tu.
 
Watu wanaleta utani sana humu, kuwashwa sehemu za siri na kutoka uchafu ni tatizo la fungus za ukeni zijulikanavyo kama Candidiasis vaginalis.Huu ni ugonjwa ambao uko kwenye kundi la magonjwa ya zinaa(Sexualy Transmitted Infection).Dawa ya Doxy aliyoandikiwa ni makosa kwa mama mjamzito na anaenyonyesha.Zipo dawa zingine nyingi ambazo zingefaa kutumia.Kuhusu kuwa una UTI au la ni kwamba fungus zinaweza kuwa sababu ya UTI pia iwapo njia ya mkojo pia itapata maambukizi.UTI ina inaletwa na vimelea vingi ikiwemo pia fungus.Mixed infection pia inaweza kuwa tatizo la kuleta kutoa uchafu sehemu za siri.Trichomniasis,gonorrhea,genital Candidiasis na Clamydia zaweza kusababisha mchanganyiko wa maambukizi unaoleta kutoka uchafu ukeni na muwasho.
 
inaonekana unaimini sana google,try kugoogle Word idiot alafu ujarbu tena Best toilet paper in the world,,
 
Watu wanaleta utani sana humu, kuwashwa sehemu za siri na kutoka uchafu ni tatizo la fungus za ukeni zijulikanavyo kama Candidiasis vaginalis.Huu ni ugonjwa ambao uko kwenye kundi la magonjwa ya zinaa(Sexualy Transmitted Infection).Dawa ya Doxy aliyoandikiwa ni makosa kwa mama mjamzito na anaenyonyesha.Zipo dawa zingine nyingi ambazo zingefaa kutumia.Kuhusu kuwa una UTI au la ni kwamba fungus zinaweza kuwa sababu ya UTI pia iwapo njia ya mkojo pia itapata maambukizi.UTI ina inaletwa na vimelea vingi ikiwemo pia fungus.Mixed infection pia inaweza kuwa tatizo la kuleta kutoa uchafu sehemu za siri.Trichomniasis,gonorrhea,genital Candidiasis na Clamydia zaweza kusababisha mchanganyiko wa maambukizi unaoleta kutoka uchafu ukeni na muwasho.
sory,use biological fact to explain what happens during that process of using milk as a fungucides
 
Unaweza kugoogle Vaginal Yeast Infection kisha utapata maelezo yote siwezi kukufafanulia sana sababu sio mtaalam ila kuna magonjwa mengine ONLY WOMEN CAN UNDERSTAND and vice versa,
sasa ukibisha nitabaki kukushangaa tu.
sory,use biological fact to explain what happens during that process of using milk as a fungucides
 
sory,use biological fact to explain what happens during that process of using milk as a fungucides
Comment yangu imejieleza tosha sasa sijui shida ni uelewa wako au shida ni kichina nilichoandika?
by the way sipo hapa kubishana nimetoa dawa rahisi inayojulikana na WANAWAKE wengi, kama unaona ni lazima kutumia dawa za hospital pole maana wengine hatuzijui hizo.
 
Hilo tatizo dogo sana hakikisha kila siku unajipaka mafuta ya nazi pamoja na huo uume kabla hujalala au ule mda unavaa uende kwenye mahangaiko yako..
Binafsi mm ni miongoni mwa niliokuwa natoa pumba kabisa japo kila siku nabadilisha chupi/boxer ila lilinisumbua sana siku nakuja kujipaka hayo huwezi amini tatizo limeisha saa hivi ni kusafi hata dalali hiyo haipo kabisa nimepona na kila siku bado natumia
Mkuu anaenyonyesha ana uume?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom