Whey protein, ,,, poda ya nini wewe ,,kamua mazoezi kavukavu,, inachotakiwa jiataidi uwe unakunywa maji mengi na matunda,na maziwa,, labda utumie mara chache na vidonge vya vitamin vinaitwa Gensomin vya kikorea,, mapoda yana madhara kwa baadae kaka, ,me mwaka mmoja nilinunuaga pale mlimani city kwenye duka la GAME,,ila nilitumia kidogo tu nikaligawa kwa washkaji,, mazoezi ukifanya kisawasawa una Gain bila poda wala nini mkuu,, We piga maji ya kutosha,,matunda kwa sana,,maziwa pia yasikupite, halafu jitaidi uwe unapiga na sqwaty hata week mara mbili, kamua hadi ufikie uwezo waku-lift mpka kilo mia na hamsini sqwaty