Msaada napata maumivu makali kwenye njia ya haja kubwa

Umegundua kama sio bawasili hutaki kuzungumzia kwanini , sema ili watu wajiepushe nao, tupo hapa kujifunza sote
Mkuu, sio siku zote zinafanana.
Pia sio kilasiku ninaweza nikaelezea jambo vyema hata kama ninalifahamu.
Bado nasisitiza tena kwamba....
Kinacho msumbua huyu mwali sio Bawasili.
 
Duu. Pole sna mama kapime hospital isije kuwa bawasiri.
Kwani dada@sky eclat yeye anasemaje
 
Hiyo ni Bawasili
Hapana sio bawasiri, huyu anasumbuliwa na na chango ya uzazi, dawa yake n mitishamba iitwayo mvumbazi (kiswahili), ndo inatibu tatzo hilo,
Akienda hospital ataambiwa kuwa hadi azae ndo tatizo litaisha, ili hali sio ukweli tena akiwa mjamzto mimba unaweza kuharibika, au akajifungua salama mtoto akafariki, na hata akawa mzma huwa haponi, ni lazima atumie dawa husika ili kukata chango hiyo.
 
Week mbili zilizopita nilikuwa na tatizo Kama lako..kuuliza wakubwa nikaambiwa ni chango..ila niliambiwa ninywe mvumbazi dume ..nikautumia huo Sasa hivi nipo vizuri .
Kumbe nawe unatakiwa uzae tena?
 
Pole sana dada
Kama upo arusha kuna dispensary moja ya wachina nikuagizie, huwa wanadeal na magonjwa kama hago
Cheki nami kama upo tayari
 
Habari zenu poleni na majukumu,

Jamani na shida naombeni ushauri wenu kwa anayejua napata maumivu makali tumbo linanikata sana chini ya kitovu maumivu yanazungua Hadi kwenye njia ya haja kubwa napata vichomi Kama vile naingiziwa kisu hali hii ikinitokea nashindwa kutembea Wala kujigeuza inabidi nitulie maana nikijitikisa maumivu yanazidi kuwa makali...
pole inaonekana vijana wa R-chuga huwa unawapa jicho kulichezea, ila maumivi yakizidi umuone dokta
 
Back
Top Bottom