pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Habari wakuu, poleni na majukumu ya asubuh hii.
Dhumuni ni kwamba leo ni siku ya pili napata kikohozi chenye damu...
Ila tu wakati nikiwa naforce kuvuta kikohozi ambacho kimenasa (kama mtu aliye na mafua) kikohozi kinakuja na damu..
Kama kuna mwenye experience na alishawai kukutana na hii anipe mwongozo maana napata wasiwasi nahitaji baadae nikamwone daktari.
Nawatakia siku njema wana j.f

- Sikohoi
- sina mafua
- sipati shida kwenye upumuaji
- sina homa yoyote