nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Habari.
Unajua ninashindwa kuelewa waajiri wametarget kitu gani katika kuajiri.
Tangu nimemaliza chuo nimebahatika kufanya kazi sehemu tofauti nne ndani ya kipindi cha miaka mitatu.
Sijawahi kufanya kazi ya mkataba zaidi ya mwaka mmoja, na sehemu zote nilizofanya kazi ni za kueleweka.
Sasa imekuwa inanipa sana shida ninapoenda kwa interview Mara zote uniuliza kwanini uliacha sehemu fulani.
Imekuwa ikiwapa wasiwasi.
Najiuliza nifanyaje wakuu