nyamirambaro
Member
- Jun 9, 2015
- 9
- 0
Habari,
Natumaini wote wazima afya njema.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 mwenyeji wa Tarime mkoa wa Mara. Kifupi nimehitim form six mwaka 2013 nakupata div4 ya point 18 nilikuwa nachukua PCM mwaka jana niliomba chuo nikapata ila nikakosa pesa ya kulipia gharama za chuo.
Kwakuwa bado napenda chuo mwaka huu nimeomba tena bahati nzuri nimechaguliwa Arusha technical collage kwa kozi ya autoelectric & electronic engineering.
Pia bahati nzuri nimepata udhamini wa serikali ila kuna pesa inahitajika nilipie sh.615400 hali y nyumbani ni ngumu sana uwezo wa kuipata sina ivo nimeona niombe kwenu ndugu zangu mnisaidie niweze kupata pesa niende chuo.
Namba ni 0756773022
benedictdatius@gmail.com