Hahahahahaha ntakupa mida ya usiku tukiwa kitandan ili nmalize kabisaUnanipa pesa napokea...mnuno unaendelea!
Hata kam ni kitandani. pesa nachukua..game nakupa. Mnuno unaendelea...Kukusamehe ni lazima nilipize.. ha ha haaaHahahahahaha ntakupa mida ya usiku tukiwa kitandan ili nmalize kabisa
Ana hamu ya kupigwa mtandao huyo wala si kufumaniwa.Unampango wa kufumaniwa lini?
Kwa sbb ulichepuka ina maana huyo ulienae hatosherezi sasa hakuna haja ya kuomba msamaha we chepuka tu. Ila kama unampenda ungemwambia mapungufu yake kuliko ulivyofanya.Male
Heee...Ana hamu ya kupigwa mtandao huyo wala si kufumaniwa.
Ha ha ha ha ha Ngoja nijaribu hii, kama inakujakuja vile.Mwambie mpenzi wangu naomba uniamini kwamba huku kwote napita tu ila break imefungiwa kwako! Kwa hyo nitaenda huku na kule ila wewe ndo mfuniko wao! Hapo hata kama alikuwa analia utamwona ghafla anatabasamu!
tehetehetehe ila thread yako nzuri mjombaasi unajua jf full majibu ya kuburudishaHa ha ha ha, nimejitetea sana hapa lakini nimeshindwa kueleweka
Wala usijitayarishe mkuu,daima omba yasikukute yasikie tuu kwa watu,hata uwe na kitabu kizima na usome mwaka mzimaHabarini wakuu, naomba mnisaidie maneno mazuri kabisa ya kuomba msamaha pindi
nikifumaniwa, aidha kwa mdomo au meseji ya simu au barua. Maneno mazazuri kabisa
ambayo yatasababisha nisamehewe. Ahsanteni.
Ngoja kwanza niiweke hii kwenye notebookmwambie hivi kukupenda wewe haina maana sioni wengine mpenzi wangu ila wewe ni namba moja na itabaki hivyo hao wengine wakipita macho na hisia utamani kwa hiyo huwa nagonga tu na kusepa mpenzi wangu ila wewe siwezi kuuacha moyo akili roho na mwili ni vyako .. ila tama ndiyo inayoniponza nakupenda sana mpenzi wangu ... unajua sku zote naangaika huko nje sijaona wa mfanano wako kwa kweli, nisamehe kipenzi