Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

Asante Sana ubarikiwe na Mungu wako una hekima Sana brother nimesikia kwa making sitajiangusha kwa hili
 
Asante Sana ubarikiwe na Mungu wako una hekima Sana brother nimesikia kwa making sitajiangusha kwa hili
Amin, nafurahi kusikia hivyo.
Kama kuna sehemu utakwama, au utahitaji ushauri zaidi. Usisite kunijulisha.

Best of luck
 
Unakutana na binti falagha mnafanya tendo bila kinga siku anakwambia ni mjamzito unaruka maili 200, ulitegemea nini? Maturity ni pamoja na kukubali majukumu na hakuna bahati mbaya kwenye hilo
 
Mkiambiwa vaeni condoms mnaanza maneno oh sijui pipi bila nini hainini......lea mimba hiyo acha kulialia,utajipanga mbele ya safari
 
Nenda singidan kavue samak wale wa tope uwe unampa
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Toa ujinga wako hapa mtoto mdogo unafanya uzinz??? Ulitakiwa uwe shule usitusumbue ww mtoto nyie ndiyo wakupigwa viboko blalifuu
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
watoto wadogo ndio hawana uwezo wa kuwapa mimba mabinti, maadam umeweza mpa mtu mimba you are an adult,kila mtoto huja na shani zake lea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…