Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

Ushauri mzuri sana mkuu bila shaka ataufanyia kazi
 
Yani huu uandishi tu unaonesha unastress.., pole sana ila sina hakika kama kuna linaloshindikana. Kubali tu then utaona maisha yataenda safi tu
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Sasa kwa nini ukaingilia mambo ya wakubwa? Hata jela za watoto zipo pia usisahau
 
Ndio ukome, condom huijui!!
Kabebe hata kokoto ujiandae kulea mkuu.
 
Wadogo hawatiani, we ni mkubwa kabisa. Anza kuwaza namna ya kulibeba hilo jukumu.
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
 
Ushauri mzuri tu ila una ucheshi ndani yake
 
Usiwe mtu wa hovyo hovyo. Jaribu kushirikisha ubongo wako unapotaka ku coment kitu.
BTW asante kwa kuni kariri ujmbe wangu.
Mkuu Jifunze kuskiliza, kupokea na kuheshimu mawazo ya wenzio ,ata kama ni wa hovyo hovyo kama uonavo wewe......

Kujiona upo sahihi au unajua kila kitu kunakunyima uhuru wa kujua vitu vingine, wewe unajua 1na 2 wenzio wanjua 3 na 4........!

Ulivoshirikisha ubongo wako ndo ukaona jibu sahihi ni "ZIRO", Ilo jibu linamsaidia ndege John....? au linanisaidia kujua mawazo yangu si sahihi.....?
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Usijali mkuu,
Jaribu kwanza kumpeleka hospitali akapime kuthibitisha ujauzito upo kweli au ni mabadiliko tu ya siku zake za hedhi.

Kuna wakati mzunguko wa msichana unabadilika hasa kama hajazoea hayo mambo sio mzoefu. Mpk baadae sana mzunguko unakaa vizuri.

Kwa hiyo jithibitishie kwanza kutoka kwa daktari.

HATUA INAYOFUATA.

Kutia mimba kwa mtoto wa kiume ni jambo la kawaida, na inaashiria Mungu amekupatia kizazi ambacho wapo watu wengi hawana mpk wanakwenda mahospitalini na kwa waganga "hivyo basi shukuru Mungu"

Kupata mtoto sio tatizo "kupata mtoto ni bahati" "kupata mtoto ni rizki" kwa hiyo kubaliana na matokeo ili maisha yaendelee.

Najua kinachokuumiza ni kwamba kama kula yako ni ya shida, je huyo mtoto wa watu atakula nini?. Pia unawaza kwamba kama maisha bado hayajakukubali na malengo yako hujafikia.

Ngoja nikueleze kitu, huyo kiumbe anaekuja anaweza kuja na baraka na maisha yako yakabadilika hasa ukaanza rasmi kujituma na kuchangamsha akili ili angalau utimize majukumu kama baba.

Kupata tatizo sio tatizo, bali unavyolichukulia tatizo ndio tatizo lenyewe. Kutia mimba ni changamoto tu kama changamoto nyingine hivyo ukiwa mtoto wa kiume unatakiwa kupambana.

Hongera sana baba kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…