hii hapa. Microsoft office 2003
Ila 2003 mbona version ya zamani sana ndugu. Pengine ungesema unahitaji kitu gani mpaka utafute version ya zamani kiasi hiki
hii hapa. Microsoft office 2003
Ila 2003 mbona version ya zamani sana ndugu. Pengine ungesema unahitaji kitu gani mpaka utafute version ya zamani kiasi hiki
mm ni Land surveyor mkuu sasa kuna app inaitwa scso inatakiwa kuiunganisha na excell ili nifanye shughuli zangu lakini inaniletea vitu kama hivyo hapo chini na nimejalibu kuuliza sijapata majibu mujarabu but kuna mmoja kaniambia tafuta word ya 2003 huwa inakubali