Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Nime jaribu kuchek kwenye website yao sijafanikiwa kuipata,kama kuna chuo kingine kinachotoa hiyo kozi naomba mnijuze pia.
mkuu kama ulikuwa una maanisha masters of economics(project planning and management) ya mzumbe? jaribu kudownload current prospector wameelezea vizuri content zakeKama Ungehitaji hekima usinge comment ujinga,muwe waelewa kwa mambo yasiyo taka utani kama una akili ya utambuzi utakua umejifunza kitu hapa....LET US 4GET BOUT PAST....100.
Thanks Mods Kwa Kuondoa comments zangu chafu..,mkuu kama ulikuwa una maanisha masters of economics(project planning and management) ya mzumbe? jaribu kudownload current prospector wameelezea vizuri content zake
ila kampala international university dar campus nahisi wanayo! jaribu kufatilia pia
kila la heri mkuu!
OUT wanayo Masters in Project Management - MPM
sawa mweshimiwa,lakini wanataka ume na SOLID ECONOMICS FOUNDATION AT BACHELOR DEGREE LEVEL,DONLOAD HAPO CHINI REQUIREMENT WANATAKA UWE NA ATLEAST SECOND CLASS YA MZUMBE OR OTHER RECOGNIZED INST AU KAMA MTU ANA LOWER NA HE IS FROM POST GRADUATE