Msaada, naomba tuandike hii proposal wakuu,

Joined
Mar 6, 2019
Posts
87
Reaction score
81
Habari zenu wakuu, nataka kuandika proposal ya kuomba mkopo benki, mkopo ni kwaajili ya kupata mtaji wa Kununulia mahindi ya kusaga kwa ajili ya biashara ya unga, kwani kiwanda kipo tayari kabisa, kilicho baki ni hayo mahindi,

Mwenye kuweza kuandika proposal za kuomba mikopo naomba anisaidie
 
Unataka business plan mkuu? Je uko mkoa gani?
 
NAWEZA KUKUANDIKIA IKIWA FULL NA PROJECTION YAKE TUWASILIANE WHTSPP 0764530882
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…