mussa10 Member Joined Mar 10, 2018 Posts 15 Reaction score 3 Mar 16, 2018 #1 Kwa yoyote mwenye msamiati na maanayake au msemo ambao ni ni rasmi (sio yakihuni) plzz.. niwekee hapa WAUNGWANA
Kwa yoyote mwenye msamiati na maanayake au msemo ambao ni ni rasmi (sio yakihuni) plzz.. niwekee hapa WAUNGWANA
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,746 Mar 16, 2018 #2 Mficha uchi hazai=kama utaendelea kukumbatia matatizo yako we mwenyew bila kuwashilikisha wadau wengine kwa ajil ya msaada basi ,kamwe hutaweza kufanikiwa kutatua
Mficha uchi hazai=kama utaendelea kukumbatia matatizo yako we mwenyew bila kuwashilikisha wadau wengine kwa ajil ya msaada basi ,kamwe hutaweza kufanikiwa kutatua
mchumi tumbo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 832 Reaction score 997 Mar 16, 2018 #3 mussa10 said: Kwa yoyote mwenye msamiati na maanayake au msemo ambao ni ni rasmi (sio yakihuni) plzz.. niwekee hapa WAUNGWANA Click to expand... Uandishi gani huo mdogo wangu.
mussa10 said: Kwa yoyote mwenye msamiati na maanayake au msemo ambao ni ni rasmi (sio yakihuni) plzz.. niwekee hapa WAUNGWANA Click to expand... Uandishi gani huo mdogo wangu.
mussa10 Member Joined Mar 10, 2018 Posts 15 Reaction score 3 Mar 16, 2018 Thread starter #4 Ahsant mkuu
mussa10 Member Joined Mar 10, 2018 Posts 15 Reaction score 3 Mar 16, 2018 Thread starter #5 Kwann mkuu