Msaada: NAOMBA KUJZWA NAMNA YA KUCHAKACHUA huawei E153

Msaada: NAOMBA KUJZWA NAMNA YA KUCHAKACHUA huawei E153

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Ndugu wanajamvi, habarini za jioni.

Kama heading inavyojieleza, nilikuwa Dar nikitumia modem HUAWEI E153 u-1 lakini kwa ss nimehama. Nilikohamia kuna tatzo kidogo la network ya tiGO, badala yake kuna Airtel na Vodacom: hivyo naomba kusaidiwa ili niiunlock.

Ahsanteni.
 
Dah! Wenye kujua msaada unahitajika
 
0682295752
mpigie jamaa anafanyakazi hizo za kuunlock sim yoyote
 
Back
Top Bottom