Msaada naomba kujuzwa..

Msaada naomba kujuzwa..

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
Wakuu shida yangu ni kujua tu jinsi gani ninaeza kutoa sim lock..hasa hizi simu za tigo..Kila siku naona ikifika wakat mtu inabid atoe lock ya network basi anapewa jibu aende k.koo au awaone watu fulani humu jf.
Je haiwezekan tukapeana jinsi gan tunaeez tuka unlock wenyew bila kwenda kwa hao watu? kama jinsi watu wanavyo walekeza wengne jinsi ya kuflash simu basi naomba iwe hata kweny kutoa lock.
Kikubwa naomba kujuzwa jeh ninaweza kutoa sim lock nikiwa nyumban kwangu?
kama ndio jeh nitahitaji nini ili niweze kufanya hiyo kazi.
If possible naomba process nzima ya kutoa sim lock.
Nawasilisha.
 
1. udalali kupitia kwa wanaotoa hizo lock ulaya/asia

2. uwe na keygen ambayo inagenerate unlock code kama vile modem, nyingi zinakuwa kwenye mabox

3.kubadili firmware rom. ila hii ni mara chache sana kufanikiwa

hizo ndo baadhi ya njia zinazotumika
 
Ahsante ndugu...
ngoja nizifatilie hizi njia
 
Back
Top Bottom