Msaada, Naomba kujuzwa sehemu ya kupata Games za PlayStation kwa Dar es Salaam

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,819
Kwema Wakuu,

Kipindi hiki cha kushinda home sababu ya Corona nimejikuta tu nimetamani kupoteza muda kwenye Games za PlayStation hivyo nikanunua moja.

Sasa muuzaji aliniwekea games tatu tu, Sababu alitumia flash ya GB 8. Nishazicheza zote na kuzirudia rudia kila mara mpaka nimezichoka.

Je, wapi naweza pata hizi games kwa Dar, na bei iwe nafuu? Halafu Ni kweli kuwa hizi games ukiziweka kwa External HDD hazitocheza kwa PlayStation mpaka iwe Flash Disk tu?

NB: Sija opt kuchukua games kwa alieniuzia PlayStation sababu naangalia pia "Best Alternatives" kwanza.

Nipo Dar.
 
Ingia instagram andika richgames_tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom