Gg111 New Member Dec 16, 2018 2 0 Feb 25, 2020 #1 Habarini za muda wakuu! Tafadhali aliyesoma kozi ya Labour Relations & Public Relations kuanzia ngazi ya cheti. Naomba anijulishe alisomea chuo gani, ukiachilia mbali ISW {Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama}
Habarini za muda wakuu! Tafadhali aliyesoma kozi ya Labour Relations & Public Relations kuanzia ngazi ya cheti. Naomba anijulishe alisomea chuo gani, ukiachilia mbali ISW {Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama}
kukumsela JF-Expert Member Oct 13, 2018 721 907 Feb 25, 2020 #2 Sidhani Kama Kuna chuo kingine tofauti na Ustawi wa Jamii Sent using Jamii Forums mobile app
P Philemon Raymond Member Jan 11, 2020 13 4 Feb 25, 2020 #3 Udsm inatoa programme ya Public relation Sent using Jamii Forums mobile app